MAELEZO KUHUSU KOZI ZILIZOPO KWA MWAKA HUU WA MASOMO 
Kozi za Afya zinazopatikana kwa sasa ni kama ifuatavyo
1. Kozi za famasia ngazi ya cheti (Miaka 2)
2. Kozi ya famasia ngazi ya cheti cha awali (Mwaka 1)
                           SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO
Ufaulu wa alama D au zaidi kwenye masomo ya kidato cha nne, ikiwemo Biology na Chemistry. Masomo ya  dini hayatahesabika
Kwa msaada wa haraka piga +255 767 103 313, + 255 676 722 984